Magnus wa Milano

Mt. Magnus alivyochorwa.

Magnus wa Milano (alifariki Milano, Italia, 530 hivi) alikuwa Askofu wa mji huo chini ya Walongobardi kuanzia mwaka 518 hivi[1].

Alisifiwa hasa kwa ukarimu wake kwa maskini.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Novemba[2].

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/93375
  2. Martyrologium Romanum

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search